Mfumo wa Huduma za Serikali kupitia Simu za Mkononi

Mfumo wa Huduma za Serikali kupitia Simu za Mkononi

Mfumo wa Huduma za Serikali kupitia Simu za Mkononi (mGov) http://mgov.ega.go.tz umetengenezwa kwa lengo la kujumuisha huduma zote za simu za mkononi Serikalini. Mfumo huu unatumia arafa (sms) katika kutoa na k...

Tazama Video

Nifanyaje

Have a requirement specification document.

1. Andika barua ya maombi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao

2. Wasilisha maelezo ya tatizo

3. Hudhuria mkutano wa kukusanya mahitaji kwenye ofisi za e-GA

4. Toa maoni na kukubali huduma hiyo iliyojaribiwa na kuoneshwa kwako

5. Lipa ada inayostahili kama ilivyoainishwa kupitia Akaunti ya Mapato ya Wakala (e-Government Agency Revenue A/C) Na. 20110002340, NMB Bank.

6. Utakabidhiwa rasmi Mfumo wa Huduma kwa Simu za Mkononi

Zingatia:

Utengenezaji wa mfumo wa huduma kwa simu za mkononi unategemea ukubwa wa tatizo lililowasilishwa.

Wasiliana Nasi

  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Mamlaka Ya Serikali Mtandao
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao, Mji wa Serikali, Mtaa wa Mtandao,
  • S.L.P 2833, 40404 DODOMA
  • +255 22 2774852/4889
  • info@ega.go.tz