News

Posted On: Jan, 14 2019

DAWASA Yahaswa kutunza Miundombinu yake

News Images

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo ameihasa watumishi wa DAWASA Kutunza miundo mbinu ya maji, vyanzo vya maji na majengo. Hayo aliyasema katika hafla ya makabidhiano ya Jengo jipya la DAWASA yaliyofanyika Januari 5, 2019 katika ofisi ya Wizara ya Maji.

"Jengo hili kubwa litasaidia kuboresha huduma ya Majisafi na Majitaka kwa wananchi wa Dar es Salaam na pembezoni mwa Pwani"